Revelation 18:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakisema: “ ‘Ole! Ole, ee mji mkuu, uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, ya rangi ya zambarau na nyekundu, ukimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakisema, Ole, ole, mji ule mkuu! Uliovikwa kitani nzuri, na nguo ya rangi ya zambarau, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watasema: “Inatisha! Inatisha kwa mji mkuu! Alivalishwa kitani safi; alivaa zambarau na nguo nyekundu. Alikuwa anang'aa kwa sababu ya dhahabu, vito na lulu!
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Ole! Ole, Ee, mji mkubwa, uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, ya rangi ya zambarau na nyekundu, ukimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, ya rangi ya zambarau na nyekundu, ukimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakisema, Ole, ole, mji ule mkuu! Uliovikwa kitani nzuri, na nguo ya rangi ya zambarau, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu, na vito vya thamani, na lulu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na kusema: Mama we! Mama we! Mji huu mkubwa uliovaa nguo za bafta na za kifalme na za rangi nzuri na kujipamba na dhahabu na vito na ushanga!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakisema, Ole, ole, mji ule mkuu! Uliovikwa kitani nzuri, na nguo ya rangi ya zambarau, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakisema: “Ole! Ole kwa muji ule mukubwa. Ulikuwa unavaa nguo zilizofumwa na nyuzi nzuri pamoja na nguo zuri ya rangi nyekundu nyeusi na nyekundu sana. Ulikuwa unapambwa kwa zahabu, mawe ya bei kali, na ushanga wa bei kali!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakisema, Ole, ole wake mji ule mkuu uliovikwa katani, na porfuro, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu na kito cha thamani na lulu;