Revelation 18:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!” Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika muda wa saa moja utajiri wote mkubwa kama huu umeangamia!’ “Kila nahodha, na wote wasafirio kwa meli, na wote wapatao kipato chao kutokana na bahari, watasimama mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na kila nahodha na kila aendaye mahali popote kwa matanga, na mabaharia, nao wote watendao kazi baharini, wakasimama mbali;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Utajiri wote huu umeteketezwa kwa saa moja!” Kila nahodha, wote ambao husafiri katika meli, mabaharia na wote ambao hupata pesa kutokana na bahari walisimama mbali na Babeli.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!” Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!” Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika muda wa saa moja utajiri wote mkubwa kama huu umeangamia!’ “Kila nahodha, mabaharia wote wasafirio baharini na wote wapatao kipato chao kutokana na bahari, watasimama mbali naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika muda wa saa moja utajiri wote mkubwa kama huu umeangamia!’ “Kila nahodha, na wote wasafirio kwa meli, na wote wapatao kipato chao kutokana na bahari, watasimama mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na kila nahodha na kila aendaye mahali popote kwa matanga, na mabaharia, nao wote watendao kazi baharini, wakasimama mbali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!” Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa saa moja huo uzuri uliokuwa mwingi hivyo umeangamika wote! Nao wakuu wa merikebu nao wenye vyombo vidogo na wabaharia wote nao wote wanaofanya kazi baharini walisimama mbali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na kila nahodha na kila aendaye mahali popote kwa matanga, na mabaharia, nao wote watendao kazi baharini, wakasimama mbali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda wa saa moja tu utajiri mwingi kama huu umeharibishwa.” Waongozi wote wa mashua na wasafiri wao, nao wote wanaofanya kazi ndani ya mashua na wote wanaochuuza kwa njia ya bahari walisimama kwa mbali.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na killa mshika msukani na killa aendae mahali kwa matanga, mi baharia, nao wote watendao kazi baharini wakasimama mbali,