Revelation 18:24 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu, na wote waliouawa duniani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ndani yake ilionekana damu ya manabii, na ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Una hatia ya vifo vya manabii, na watakatifu wa Mungu, na vya wote waliouawa duniani.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watu wa Mungu na damu ya watu wote waliouawa duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu na wote waliouawa duniani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu na wote waliouawa duniani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ndani yake ilionekana damu ya manabii, na ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mji huo uliadhibiwa kwani humo mlipatikana damu ya manabii, damu ya watakatifu na ya watu wote waliouawa duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Damu za wafumbuaji na za watakatifu nazo zao wote waliouawa nchini zilionekana mwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ndani yake ilionekana damu ya manabii, na ya watakatifu, na ya wale wote waliouawa juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muji Babeli umeazibiwa kwa sababu ndani yake kumeonekana damu ya manabii na ya watu wa Mungu pamoja na damu ya watu wote waliouawa katika dunia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu na ya wale wote waliouawa juu ya inchi.