Revelation 18:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimerundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa dhambi zake zimefika hadi mbinguni, naye Mungu ameukumbuka uhalifu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Dhambi za mji huo zimerundikana na kufika mbinguni. Mungu hajasahau makosa aliyotenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maana dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimelundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimerundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa dhambi zake zimerundikana hadi mbinguni, naye Mungu ameukumbuka uhalifu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa dhambi zake zimelundikana hadi mbinguni, naye Mungu ameukumbuka uhalifu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana dhambi zake zimekuwa nyingi mno, zimerundikana mpaka mbinguni, na Mungu ameyakumbuka maovu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani makosa yake hugandamiana, yamefika hata mbinguni, Mungu akayakumbuka mapotovu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana zambi zake zinazidi sana hata zimefika mbinguni na Mungu hakusahau mabaya yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana dhambi zake zimefika hatta mbinguni, na Mungu amekumhuka dhuluma zake.