Revelation 19:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu”.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amevaa joho lililoloweshwa katika damu, na Jina lake ni Neno la Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aitwa, Neno la Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alivaa vazi lililochovywa katika damu, na aliitwa Neno la Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu”.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa amevaa joho lililochovywa kwenye damu na Jina lake ni “Neno la Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amevaa joho lililochoviwa katika damu, na Jina lake ni “Neno la Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye amevikwa vazi lililoloweshwa katika damu, na jina lake anaitwa, Neno la Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni “Neno la Mungu”.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amevaa nguo iliyochovywa katika damu. Jina lake huitwa Neno la Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aitwa, Neno la Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa amevaa nguo iliyochovywa ndani ya damu. Jina lake ni: “Neno la Mungu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae amevikwa vazi lililochovywa katika damu, na, jina lake, aitwa, Neno la Mungu.