Revelation 19:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya vazi lake, na juu ya paja lake, alikuwa ameandikwa jina: “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwenye joho lake na paja lake pameandikwa jina hili: Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA Bwana WA MABwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwenye vazi lake na kwenye mguu wake alikuwa ameandikwa jina lake: MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Juu ya vazi lake, na juu ya mguu wake, alikuwa ameandikwa jina: “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya vazi lake, na juu ya paja lake, alikuwa ameandikwa jina: “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwenye joho lake na paja lake liliandikwa jina hili: MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwenye joho lake na paja lake pameandikwa jina hili: mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya vazi lake, na juu ya paja lake, alikuwa ameandikwa jina: “Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye alikuwa ameandikwa jina katika nguo yake penye kiuno: MFALME WA WAFALME NA BWANA WA MABWANA.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na juu ya nguo yake na paja la muguu wake kulikuwa kumeandikwa jina hili: “Mufalme wa wafalme na Bwana wa wabwana.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae ana jina limeandikwa katika vazi lake mi paja vake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.