Revelation 19:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakasema, “Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakasema tena kwa sauti kuu: “Haleluya! Moshi wake huyo kahaba unapanda juu milele na milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema mara ya pili, Haleluya. Na moshi wake hupaa juu hata milele na milele.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia, watu hawa walisema: “Haleluya! Anaungua na moshi wake utasimama milele na milele.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakasema, “Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakasema, “Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakasema tena kwa nguvu: “Haleluya! Moshi wake huyo kahaba unapanda juu milele na milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakasema tena kwa nguvu: “Haleluya! Moshi wake huyo kahaba unapanda juu milele na milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema mara ya pili, Haleluya. Na moshi wake hupaa juu hata milele na milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakasema, “Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakasema mara ya pili: Haleluya! Moshi wake hupanda juu kale na kale pasipo mwisho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema mara ya pili, Haleluya. Na moshi wake hupaa juu hata milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakasema tena: “Mungu asifiwe! Moshi wa moto unaoteketeza ule muji mukubwa unapanda juu kwa milele na milele!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakasema marra ya pili, Halleluya. Na moshi wake hupaa juu hatta milele na milele,