Revelation 19:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa harusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tufurahi, tushangilie na kumpa utukufu! Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia na bibi arusi wake amejiweka tayari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tushangilie na kufurahi na kumpa Mungu utukufu! Mpeni Mungu utukufu, kwa sababu arusi ya Mwanakondoo imewadia. Na bibi arusi wa Mwanakondoo amekwisha jiandaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa arusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa harusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tufurahi, tushangilie na kumpa utukufu! Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia na bibi arusi wake amejiweka tayari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tufurahi, tushangilie na kumpa utukufu! Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia na bibi arusi wake amejiweka tayari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa harusi ya Mwana-kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa harusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tushangilie na kupiga vigelegele na kumtukuza yeye! Kwani ndoa ya Mwana kondoo imefika, naye mkewe amejitengeneza,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tufurahi na kushangilia na kumutukuza, kwa sababu saa ya ndoa ya Mwana-Kondoo imetimia, naye bibi arusi wake amejitayarisha.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tufurahi tukashangilie tukampe ulukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.