Revelation 2:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa malaika wa kanisa la Pergamumu andika: “Mimi niliye na upanga mkali wenye makali kuwili nasema hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Pergamo, andika: Haya ndio maneno yake yeye aliye na upanga mkali wenye makali kuwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Andika hivi kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo: Huu ni ujumbe kutoka kwake aliye na upanga wenye makali kuwili unaotoka katika kinywa chake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Kwa malaika wa kanisa la Pergamoni andika hivi: “Huu ndio ujumbe wake yeye aliye na upanga mkali wenye kuwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa malaika wa kanisa la Pergamumu andika: “Mimi niliye na upanga mkali wenye makali kuwili nasema hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa malaika wa Kanisa lililoko Pergamo andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye na upanga wenye makali kuwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Pergamo, andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye na upanga mkali wenye makali kuwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa malaika wa kanisa la Pergamumu andika: “Mimi niliye na upanga mkali wenye makali kuwili nasema hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika wa wateule walioko Pergamo mwandikie: Ndivyo, anavyosema mwenye ule upanga mkali wenye makali pande mbili:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Pergamo andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye na huo upanga mkali, wenye makali kuwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Umwandikie malaika wa kanisa la Pergamo hivi: “Ujumbe huu unatoka kwa yule anayekuwa na upanga wenye makali ngambo zote mbili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kwa malaika wa kanisa lililo katika Pergamo, andika; Haya ayanena yeye aliye na upanga mkali, mkali kuwili;