Revelation 2:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vivyo hivyo unao wale wanaoyashikilia mafundisho ya Wanikolai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolai vile vile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndivyo ilivyo hata kwa kundi lako. Una watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vivyo hivyo unao wale wayashikao mafundisho ya Wanikolai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vivyo hivyo unao wale wayashikayo mafundisho ya Wanikolai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolai vile vile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vivyo hivyo, wako pia miongoni mwenu watu wanaofuata mafundisho ya Wanikolai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vivyo hivyo hata wewe unao wanaoyashika mafundisho ya Wanikolai yaliyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolai vile vile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na zaidi ya hii kati yako kuna watu wanaoshika mafundisho ya Wanikolayi vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Vivyo hivyo wewe nawe unao watu wayashikao mafundisho ya Wanikolaiti, niyachukiayo.