Revelation 2:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mshindi na mwenye kuzingatia mpaka mwisho mambo ninayotaka, nitampa mamlaka juu ya watu wa mataifa:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakayeshinda na kutenda mapenzi yangu hadi mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nitawapa nguvu juu ya mataifa wale wote watakaoshinda na wakaendelea kutenda yale ninayotaka mpaka mwisho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Wanaoshinda, na wale watakaozingatia mpaka mwisho kutenda ninayotaka, nitawapa mamlaka juu ya mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mshindi na mwenye kuzingatia mpaka mwisho mambo ninayotaka, nitampa mamlaka juu ya watu wa mataifa:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Atakayeshinda na kutenda mapenzi yangu mpaka mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Atakayeshinda na kutenda mapenzi yangu mpaka mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mshindi na mwenye kuzingatia mpaka mwisho mambo ninayotaka, nitampa mamlaka juu ya watu wa mataifa:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kushinda na kuzishika kazi zangu mpaka mwisho nitampa kuwa mkuu wa wamizimu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yeye ashindaye, na kuyatunza matendo yangu hata mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yule atakayeshinda na kuendelea kufuata mapenzi yangu mpaka mwisho, nitamupa mamlaka ya kutawala mataifa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na yeye ashindae na kuyatunza matendo yangu hatta mwisho, nitampa mamlaka juu ya mataifa,