Revelation 2:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawaongoza kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama vyombo vya udongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma, atawavunja vipande vipande kama chombo cha udongo’: kama mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyanzi vipondwavyo, kama mimi nami nilivyopokea kwa Baba yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watayatawala mataifa kwa fimbo ya chuma. Watayavunja vipande vipande kama vyombo vya udongo wa mfinyanzi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Naam, nitawapa uwezo uleule nilioupokea kwa Baba: yaani, watayatawala mataifa kwa fimbo ya chuma na kuyavunjavunja kama chombo cha udongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
atawaongoza kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama vyombo vya udongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma, atawavunja vipande vipande kama chombo cha udongo’: kama vile mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Atawatawala kwa fimbo ya chuma, atawavunja vipande vipande kama chombo cha udongo’: kama vile mimi nilivyopokea mamlaka kutoka kwa Baba yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyanzi vipondwavyo, kama mimi nami nilivyopokea kwa Baba yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawaongoza kwa fimbo ya chuma na kuwavunjavunja kama vyombo vya udongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, awapondeponde kama vyungu vya udongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyanzi vipondwavyo, kama mimi nami nilivyopokea kwa Baba yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atayatawala kwa fimbo ya chuma na kuyaponda kama vile mutungi,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nae atawachunga kwa fimbo ya chuma, kama vyombo vya mfinyangi visetwavyo, kama mimi nilivyopokea kwa Baba yangu.