Revelation 2:28 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi pia nimepokea mamlaka hayo kutoka kwa Baba yangu. Tena nitampa nyota ya asubuhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitampa ile nyota ya asubuhi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watakuwa na nguvu ile ile niliyoipokea kutoka kwa Baba yangu, na nitawapa nyota ya asubuhi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena nitawapa nyota ya asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi pia nimepokea mamlaka hayo kutoka kwa Baba yangu. Tena nitampa nyota ya asubuhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nitampa pia ile nyota ya asubuhi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitampa ile nyota ya asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi pia nimepokea mamlaka hayo kutoka kwa Baba yangu. Tena nitampa nyota ya asubuhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama nami nilivyopewa na Baba yangu, nitampa naye nyota ya mapema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitampa ile nyota ya asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akiwa na uwezo sawa ule uliopewa na Baba yangu. Na zaidi ya ile nitamupa nyota ya asubui.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami nitampa nyota ya assubuhi.