Revelation 2:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe unayo saburi, umestahimili taabu nyingi kwa ajili ya jina langu, wala hukuvunjika moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umevumilia na kustahimili taabu kwa ajili ya Jina langu, wala hukuchoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huachi kujaribu. Umestahimili taabu kwa ajili ya jina langu na hujakata tamaa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wewe unayo saburi, umestahimili taabu nyingi kwa ajili ya jina langu, wala hukuvunjika moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe unayo saburi, umestahimili taabu nyingi kwa ajili ya jina langu, wala hukuvunjika moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami najua umevumilia na kustahimili taabu kwa ajili ya Jina langu, wala hukuchoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umevumilia na kustahimili taabu kwa ajili ya Jina langu, wala hukuchoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe unayo saburi, umestahimili taabu nyingi kwa ajili ya jina langu, wala hukuvunjika moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukavumilia ulipoumizwa kwa ajili ya Jina langu, hukuchoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ni muvumilivu; umeteswa kwa ajili ya jina langu, lakini haukuregea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tena ulistahimili na kuwa na uvumilivu, na kwa ajili yangu umejitaabisha wala hukuchoka.