Revelation 2:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ninalo jambo moja dhidi yako: Wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini nina neno hili nawe umeuacha upendo uliokuwa nao hapo mwanzo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninayo hoja moja juu yako: wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ninalo jambo moja dhidi yako: wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini nina neno juu yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini nina neno dhidi yako: Umeuacha upendo wako wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ninalo jambo moja dhidi yako: Wewe hunipendi tena sasa kama pale awali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninakuonya, ya kuwa umeuacha upendo wako wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini niko na neno moja juu yako: wewe hauna tena upendo kwangu kama vile mbele.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini nina neno jun yako, kwa sababu umeacha npendo wako wa kwanza.