Revelation 2:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: Wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami pia nayachukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini unalo neno hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo na mimi nayachukia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini unafanya vizuri kuyachukia matendo ya Wanikolai. Mimi pia nayachukia mambo wanayotenda.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami nayachukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini una jambo hili kwa upande wako: Unayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo nami pia nayachukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini una jambo hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo mimi pia nayachukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nakusifu juu ya kitu kimoja: Wewe unayachukia wanayoyatenda Wanikolai kama ninavyoyachukia mimi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini neno hili unalo, ya kuwa unayachukia matendo yao Wanikolai, ninayoyachukia hata mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini unalo neno hili, kwamba wayachukia matendo ya Wanikolai, ambayo na mimi nayachukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini uko na neno hili zuri: unachukia matendo ya Wanikolayi kama vile ninavyoyachukia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakmi unalo neno hili kwamba wayachukia matendo ya Wanikolaiti, niyachukiayo na mimi.