Revelation 2:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwa malaika wa kanisa la Smurna andika: “Mimi niliye wa kwanza na wa mwisho, ambaye nilikufa na kuishi tena, nasema hivi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Smirna, andika: Haya ndio maneno yake yeye aliye wa Kwanza na wa Mwisho, aliyekufa kisha akafufuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Andika hivi kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna: “Huu ni ujumbe kutoka kwake aliye wa Kwanza na wa Mwisho, aliyekufa na akawa hai tena.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Kwa malaika wa kanisa la Smurna andika hivi: “Huu ndio ujumbe kutoka kwake yeye wa kwanza na wa mwisho, ambaye alikufa na akaishi tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwa malaika wa kanisa la Smurna andika: “Mimi niliye wa kwanza na wa mwisho, ambaye nilikufa na kuishi tena, nasema hivi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye wa Kwanza na wa Mwisho, aliyekufa kisha akafufuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Smirna, andika: “Haya ndiyo maneno yake yeye aliye wa Kwanza na wa Mwisho, aliyekufa kisha akafufuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwa malaika wa kanisa la Smurna andika: “Mimi niliye wa kwanza na wa mwisho, ambaye nilikufa na kuishi tena, nasema hivi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Malaika wa wateule walioko Simirna mwandikie: Ndivyo, anavyosema yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, akapata kuishi tena:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Smirna andika; Haya ndiyo aneneyo yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, kisha akawa hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Umwandikie malaika wa kanisa la Smurna hivi: “Ujumbe huu unatoka kwa yule anayekuwa wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa lakini sasa ni muzima.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na kwa malaika wa kanisa lililo katika Smurna andika; Haya ayanena yeye aliye wa kwanza na wa mwisbo, aliyekuwa amekufa, akawa hayi.