Revelation 20:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka 1,000 itimie). Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Wafu waliosalia hawakufufuka hadi ilipotimia hiyo miaka elfu.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wafu waliosalia hawakuwa hai, hata itimie ile miaka elfu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
(Wengine waliokufa hawakufufuka mpaka miaka elfu moja ilipokwisha.) Huu ni ufufuo wa kwanza.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
(Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka elfu moja itimie.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka 1,000 itimie). Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wafu waliosalia hawakufufuka mpaka ilipotimia hiyo miaka 1,000.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Wafu waliosalia hawakufufuka mpaka ilipotimia hiyo miaka 1,000.) Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wafu waliobakia hawakuwa hai, hata itimie ile miaka elfu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Wale wengine waliokufa hawakupata uhai mpaka miaka 1,000 itimie). Huu ndio ufufuo wa kwanza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafu waliosalia hawakurudi uzimani, mpaka ile miaka elfu ilipomalizika. Huo ndio ufufuko wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wafu waliosalia hawakuwa hai, hata itimie ile miaka elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Wafu wengine waliobaki, hawakufufuka mpaka ile miaka elfu moja ipate kutimia.) Huu ndio ufufuko wa kwanza.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na wafu waliosalia hawakuwa hayi, hatta ikatimia ile miaka elfu. Huo ndio ufufuo wa kwanza.