Revelation 21:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
uking'aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulikuwa uking’aa kwa utukufu wa Mungu kama kito chenye thamani sana, kama yaspi, safi kama kioo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wenye utukufu wa Mungu, na mwangaza wake ulikuwa mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi, safi kama bilauri;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mji ulikuwa unang'aa kwa utukufu wa Mungu. Ulikuwa unang'aa kwa uangavu kama yaspi, kito cha thamani sana. Ulionekana kwa uwazi kama kioo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
uking'aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
uking'aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulikuwa uking'aa kwa utukufu wa Mungu kama kito chenye thamani sana, kama yaspi, safi kama kioo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulikuwa uking’aa kwa utukufu wa Mungu kama kito chenye thamani sana, kama yaspi, safi kama kioo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ukiwa na utukufu wa Mungu, na mwangaza wake ulikuwa mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi, safi kama bilauri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
uking'aa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama wa jiwe la thamani kubwa kama yaspi, angavu kama kioo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukufu wake ni ule wa Mungu; mwanga uuangazao umefanana nao wake kile kito kivipitacho vito vyenziwe vyote, kilicho kama kijiwe cha yaspi kimulikacho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wenye utukufu wa Mungu, na mwangaza wake ulikuwa mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi, safi kama bilauri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao ukingaa kwa utukufu wa Mungu. Mwangaza wake ulikuwa kama jiwe la bei kali la yaspi, linalongaa kama kioo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wenye utukufu wa Mungu, na mwangaza wake mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi safi, kama bilauri: