Revelation 21:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila upande ulikuwa na milango mitatu: Upande wa mashariki milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na malango matatu upande wa mashariki, matatu upande wa kaskazini, matatu upande wa kusini na matatu upande wa magharibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upande wa mashariki milango mitatu; na upande wa kaskazini milango mitatu; na upande wa kusini milango mitatu; na upande wa magharibi milango mitatu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yalikuwepo malango matatu upande wa mashariki, malango matatu kaskazini, malango matatu kusini, na malango matatu magharibi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kila upande ulikuwa na milango mitatu: upande wa mashariki, milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila upande ulikuwa na milango mitatu: upande wa mashariki milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na malango matatu upande wa mashariki, matatu upande wa kaskazini, matatu upande wa kusini na matatu upande wa magharibi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na malango matatu upande wa mashariki, matatu upande wa kaskazini, matatu upande wa kusini na matatu upande wa magharibi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upande wa mashariki milango mitatu; na upande wa kaskazini milango mitatu; na upande wa kusini milango mitatu; na upande wa magharibi milango mitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila upande ulikuwa na milango mitatu: Upande wa mashariki milango mitatu, kaskazini milango mitatu, kusini milango mitatu na magharibi milango mitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maawioni kwa jua kulikuwa na malango matatu, nako kaskazini malango matatu, nako kusini malango matatu, nako machweoni kwa jua malango matatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upande wa mashariki milango mitatu; na upande wa kaskazini milango mitatu; na upande wa kusini milango mitatu; na upande wa magharibi milango mitatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila upande kulikuwa milango mitatu: upande wa mashariki milango mitatu, upande wa kaskazini milango mitatu, upande kusini milango mitatu na upande wa magaribi milango mitatu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Upande wa mashariki milango mitatu: na upande wa kaskazini milango mitatu; na upande wa kusini milango mitatu: na upande wa magharibi milango mitatu.