Revelation 21:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa mia moja na arobaini na nne (144) kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaupima ukuta wake, ukapata dhiraa mia na arobaini na nne, kwa kipimo cha kibinadamu, maana yake, cha malaika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Malaika akaupima ukuta pia. Kimo cha ukuta kilikuwa ni mita 60 kwenda juu. (Malaika alikuwa anatumia vipimo ambavyo watu hutumia.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita sitini kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa 144 kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaupima ukuta wake, ulikuwa na unene wa dhiraa 144 kwa kipimo cha kibinadamu ambacho huyo malaika alikuwa akikitumia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaupima ukuta wake, ukapata dhiraa mia moja na arobaini na nne, kwa kipimo cha kibinadamu, ambacho malaika alitumia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akaupima ukuta wake pia; nao ulikuwa mita 60 kwa kipimo cha macho cha kibinadamu ambacho malaika alitumia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akalipima boma lake, likawa la mikono 144 kwa kipimo cha mtu kilichokuwa cha malaika naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaupima ukuta wake, ukapata dhiraa mia na arobaini na nne, kwa kipimo cha kibinadamu, maana yake, cha malaika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika akapima vilevile ukuta; ulikuwa yapata metre makumi sita kufuatana na kipimo cha kawaida cha wanadamu ambacho yule malaika alichotumia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akaupima ukuta wake, ni dhiraa misi na arubaini na nne, kwa kipimo cha mwana Adamu, maana yake, cha malaika,