Revelation 21:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili johari ya rangi ya samawati, la tatu kalkedoni, la nne zumaridi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Misingi ya kuta za mji huo zilipambwa kwa kila aina ya kito cha thamani. Msingi wa kwanza ulikuwa wa yaspi, wa pili yakuti samawi, wa tatu kalkedoni, wa nne zumaridi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na misingi ya ukuta wa mji ilikuwa imepambwa kwa vito vya thamani vya kila namna. Msingi wa kwanza ulikuwa yaspi; wa pili yakuti samawi; wa tatu kalkedoni; wa nne zumaridi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mawe ya msingi wa ukuta wa mji yalikuwa na kila aina ya vito vya thamani ndani yake. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa yaspi, la pili lilikuwa yakuti samawi, la tatu lilikuwa kalkedoni, la nne lilikuwa zumaridi,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili yakuti samawati, la tatu kalkedoni, la nne zamaradi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili johari ya rangi ya samawati, la tatu kalkedoni, la nne zumaridi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Misingi ya kuta za mji huo zilipambwa kwa kila aina ya kito cha thamani. Msingi wa kwanza ulikuwa wa yaspi, wa pili yakuti samawi, wa tatu kalkedoni, wa nne zumaridi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Misingi ya kuta za mji huo zilipambwa kwa kila aina ya kito cha thamani. Msingi wa kwanza ulikuwa wa yaspi, wa pili yakuti samawi, wa tatu kalkedoni, wa nne zumaridi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na misingi ya ukuta wa mji ilikuwa imepambwa kwa vito vya thamani vya kila namna. Msingi wa kwanza ulikuwa yaspi; wa pili yakuti samawati; wa tatu kalkedoni; wa nne zumaridi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. Jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili johari ya rangi ya samawati, la tatu kalkedoni, la nne zumaridi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Misingi ya boma la mji ilikuwa imepambwa na vito vyote: msingi wa kwanza ulikuwa wa yaspi, wa pili wa safiro, wa tatu wa kalkedoni, wa nne wa sumaradi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na misingi ya ukuta wa mji ilikuwa imepambwa kwa vito vya thamani vya kila namna. Msingi wa kwanza ulikuwa yaspi; wa pili yakuti samawi; wa tatu kalkedoni; wa nne zumaridi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musingi wa ukuta uliozunguka muji ule ulikuwa unapambwa na mawe ya bei kali ya kila aina. Mawe ya musingi wa kwanza ulikuwa wa mawe ya yaspi, wa pili wa mawe ya safilo, wa tatu wa mawe ya kaledoni, wa ine wa mawe ya zumaridi,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na misingi ya ukuta wa mji imepambwa kwa killa jito la thamani. Msingi wa kwanza yaspi; wa pili sapfiro; wa tatu kalkedo; wa nne smaragdo;