Revelation 21:22 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikuona hekalu katika mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Nguvu na yule Mwanakondoo ndio hekalu lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikuona Hekalu ndani ya huo mji kwa sababu Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo ndio Hekalu lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo, ndio hekalu lake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Sikuona hekalu ndani ya mji. Bwana Mungu Mwenye Nguvu na Mwanakondoo ndiyo waliokuwa hekalu la mji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Sikuona hekalu katika mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Uwezo na yule Mwanakondoo ndio Hekalu lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikuona hekalu katika mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Nguvu na yule Mwanakondoo ndio hekalu lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikuona Hekalu ndani ya huo mji kwa sababu BWANA Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo ndio Hekalu lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikuona Hekalu ndani ya huo mji kwa sababu bwana Mwenyezi Mungu na Mwana-Kondoo ndio hekalu lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-kondoo, ndio hekalu lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikuona hekalu katika mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Nguvu na yule Mwanakondoo ndio hekalu lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jumba la kuombea sikuliona humo mwake, kwani Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana kondoo ni ombeo lao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwana-Kondoo, ndio hekalu lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikuona hekalu ndani ya muji ule, maana Bwana wetu Mungu Mwenye Uwezo na yule Mwana-Kondoo ndio hekalu lake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nami sikuona hekalu ndani yake; kwa maana Bwana Mungu Mwenyiezi ni hekalu lake, na Mwana kondoo.