Revelation 21:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mataifa watatembea katika mwanga unaotoka katika mji ule. Watawala wa dunia wataleta utukufu wao katika mji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake, na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yatatembea yakiangaziwa na nuru yake na wafalme wa duniani wataleta fahari yao ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wamizimu wataujia huo mwanga wake, nao wafalme wa nchi huuingiza utukufu wao mumo humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo watu wa mataifa watatembea katika mwangaza wake na wafalme wa dunia wataleta utajiri wao ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mataifa wa hao wanaookolewa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa inchi wataleta utukufu wao na heshima yao ndani yake.