Revelation 21:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mshindi yeyote atapokea hicho, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ashindaye atayarithi haya yote, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale wote watakaoshinda watapokea yote haya. Na nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watoto wangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeyote atakayeshinda atapokea hiki, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mshindi yeyote atapokea hicho, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye atakayeshinda atayarithi haya yote, Nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ashindaye atayarithi haya yote, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mshindi yeyote atapokea hicho, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kushinda atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwana wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule atakayeshinda atapokea toka kwangu zawadi ile, mimi nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwana wangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yeye ashindae atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, nae atakuwa Mwana wangu.