Revelation 3:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo kwa kuwa u vuguvugu, si baridi wala moto, nitakutapika utoke kinywani mwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wewe ni vuguvugu tu, si moto, wala baridi. Hivyo niko tayari kukutema utoke mdomoni mwangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo kwa kuwa u uvuguvugu, kwamba wewe si baridi wala si moto, nitakutapika utoke kinywani mwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo kwa kuwa u vuguvugu, si baridi wala moto, nitakutapika utoke kinywani mwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini sasa, kwa kuwa u mwenye kuvuvuwaa, usiwe mwenye kuzizimika wala mwenye kuzizimuka, nitakutema kinywani mwangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sasa kwa sababu wewe ni mwenye uvuguvugu, ni kusema hauko baridi wala moto, nitakutapika kutoka katika kinywa changu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, kwa sababu una uvuguvugu, wala huwi baridi wala moto, nitakutema kama mate katika kinywa changu.