Revelation 3:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. Kwa hiyo uwe na bidii na kutubu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale ninaowapenda, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mimi huwasahihisha na kuwaadhibu wale niwapendao. Hivyo onesha kuwa kuishi kwa haki ni muhimu kwako kuliko kitu kingine. Geuzeni mioyo na maisha yenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. Kwa hiyo kaza moyo, achana na dhambi zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. Kwa hiyo uwe na bidii na kutubu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Wale niwapendao, ninawakemea na kuwaadibisha. Hivyo uwe na bidii ukatubu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. Kwa hiyo uwe na bidii na kutubu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote, ninaowapenda mimi, nawaonya na kuwapiga. Kwa hiyo jikaze, ujute!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote niwapendao mimi nawakemea, na kuwarudi; basi uwe na bidii, ukatubu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi ninawaonya na kuwaazibu wote ninaowapenda. Basi ufanye nguvu, ugeuke toka katika zambi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mimi nawakemea wote niwapendao, na kuwarudi: bassi uwe na bidii, ukatubu.