Revelation 5:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kubwa: “Nani anayestahili kuvunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu hicho?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kuu, “Ni nani anayestahili kuivunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikaona malaika mwenye nguvu akihubiri kwa sauti kuu, N'nani astahiliye kukifungua kitabu, na kuzivunja muhuri zake?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na nikamwona malaika mwenye nguvu, aliyeita kwa sauti kubwa, “Ni nani anayestahili kuivunja mihuri na kukifungua kitabu?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kubwa: “Nani anayestahili kuvunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu hicho?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kubwa: “Nani anayestahili kuvunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu hicho?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kuu, akisema, “Ni nani anayestahili kuzivunja hizo lakiri na kukifungua hicho kitabu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kuu, akisema, “Ni nani anayestahili kuzivunja hizo lakiri na kukifungua kitabu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikaona malaika mwenye nguvu akihubiri kwa sauti kuu, Ni nani anayestahili kukifungua kitabu, na kuivunja mihuri yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena nikamwona malaika mwenye nguvu akitangaza kwa sauti kubwa: “Nani anayestahili kuvunja hiyo mihuri na kukifungua kitabu hicho?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nikaona malaika mwenye nguvu, akatangaza kwa sauti kuu: Yuko nani apaswaye na kukifungua kitabu na kuziondoa muhuri zake?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikaona malaika mwenye nguvu akihubiri kwa sauti kuu, N’nani astahiliye kukifungua kitabu, na kuzivunja muhuri zake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikaona malaika mwenye uwezo aliyekuwa akitangaza hivi kwa sauti kubwa: “Ni nani anayestahili kuvunja vile vifundo vya mihuri na kufungua kizingo kile?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nikaona malaika mwenye nguvu akikhubiri kwa santi kuu, Nani astahiliye kukifungua kitabu na kuzivunja muhuri zake?