Revelation 5:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hapakuwa na yeyote mbinguni wala duniani au chini ya dunia aliyeweza kukifungua hicho kitabu, wala hata kutazama ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hapakuwa na mtu mbinguni, wala juu ya nchi, wala chini ya nchi, aliyeweza kukifungua hicho kitabu, wala kukitazama.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini hakukuwa yeyote mbinguni au duniani au chini ya dunia ambaye angeweza kukifungua kitabu na kutazama ndani yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini Kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hapakuwa na ye yote mbinguni wala duniani au chini ya dunia aliyeweza kukifungua hicho kitabu wala hata kutazama ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hapakuwa na yeyote mbinguni wala duniani au chini ya dunia aliyeweza kukifungua hicho kitabu wala hata kutazama ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hapakuwa na mtu mbinguni, wala juu ya nchi, wala chini ya nchi, aliyeweza kukifungua kitabu hicho, wala kukitazama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuwako hata mmoja wala mbinguni wala nchini wala kuzimuni aliyeweza kukifungua kitabu na kukitazama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hapakuwa na mtu mbinguni, wala juu ya nchi, wala chini ya nchi, aliyeweza kukifungua hicho kitabu, wala kukitazama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hakukuwa hata mutu mbinguni, wala katika dunia, wala katika kuzimu aliyeweza kufungua kizingo kile na kuangalia ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala hapakuwa na mtu mbinguni, wala juu ya inchi, wala chini ya inchi, aliyeweza kukifunua kitabu wala kukitazama.