Revelation 5:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikalia sana kwa sababu hakuonekana yeyote anayestahili kukifungua hicho kitabu wala kutazama ndani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifungua hicho kitabu, wala kukitazama.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nililia sana kwa sababu hakuwepo aliyestahili kukifungua kitabu na kuangalia ndani yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikalia sana sana kwa sababu hakuonekana ye yote anayestahili kukifungua hicho kitabu wala kutazama ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikalia sana sana kwa sababu hakuonekana yeyote anayestahili kukifungua hicho kitabu wala kutazama ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifungua kitabu hicho, wala kukitazama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mimi nikalia sana kwa sababu hakupatikana mtu aliyestahili kukifungua, au kukitazama ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, nilipolia sana, kwa sababu hakuonekana hata mmoja apaswaye na kukifungua kitabu na kukitazama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifungua hicho kitabu, wala kukitazama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nami nikalia sana, kwa sababu hakukuonekana mutu aliyestahili kufungua kizingo wala kuangalia ndani yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nikalia sana kwa kuwa hapakuonekana mtu astahiliye kukifuugua kitabu na kukisoma, wala kukitazama.