Revelation 6:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anga ikatoweka kama vile karatasi isokotwavyo, na kila mlima na kila kisiwa kikaondolewa mahali pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa, na kila mlima na kisiwa kikahamishwa kutoka mahali pake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Anga iligawanyika katikati na pande zote zikajiviringa kama kitabu. Na kila mlima na kisiwa kiliondolewa mahali pake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Anga ikatoweka kama vile karatasi isokotwavyo na kila mlima na kila kisiwa kikaondolewa mahali pake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Anga ikatoweka kama vile karatasi isokotwavyo, na kila mlima na kila kisiwa kikaondolewa mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa, na kila mlima na kisiwa kikahamishwa kutoka mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anga likatoweka kama vile karatasi inavyokunjwakunjwa; milima yote na visima vyote vikaondolewa mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mbingu zikatengeka kama karatasi linalojizinga upesi, hata milima yote na visiwa vyote vikaondolewa mahali pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu zikaondolewa kama ukurasa ulivyokunjwa, na kila mlima na kisiwa kikahamishwa kutoka mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbingu zikaviringwa na kuwa kama kizingo cha karatasi na kutoweka. Milima yote na visanga vyote vikahamishwa kutoka kwenye nafasi yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mbingu zikaondolewa kaina ukarasa uliokunjwa, na killa mlima na kisiwa vikahamishwa katika mahali pake.