Revelation 6:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana siku maalumu ya ghadhabu yao imefika. Nani awezaye kuikabili?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana siku ile kuu ya ghadhabu yao imewadia. Je, ni nani awezaye kustahimili?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana siku iliyo kuu, ya hasira yao, imekuja; naye ni nani awezaye kusimama?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku kubwa ya hasira yao imefika. Hakuna anayeweza kupingana nayo.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana siku maalum ya ghadhabu yao imefika. Nani awezaye kuikabili?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana siku maalumu ya ghadhabu yao imefika. Nani awezaye kuikabili?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana siku ile kuu ya ghadhabu yao imewadia. Je, ni nani awezaye kustahimili?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana siku ile kuu ya ghadhabu yao imewadia. Je, ni nani awezaye kustahimili?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana siku iliyo kuu, ya hasira yao, imekuja; naye ni nani awezaye kuistahimili?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana siku maalumu ya ghadhabu yao imefika. Nani awezaye kuikabili?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani imekuja siku kubwa ya makali yao, yuko nani awezaye kusimama?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana siku iliyo kuu, ya hasira yao, imekuja; naye ni nani awezaye kusimama?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana siku kubwa ya kasirani yao imekuja. Ni nani atakayeweza kusimama imara?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana siku iliyo kuu, ya hasira yake, imekuja: na nani awezae kusimama?