Revelation 6:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipouvunja ule muhuri wa pili, nikamsikia yule kiumbe wa pili mwenye uhai akisema, “Njoo!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na alipoifungua muhuri ya pili, nikamsikia yule mwenye uhai wa pili akisema, Njoo!
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanakondoo alipoufungua muhuri wa pili, nilimsikia kiumbe wa pili mwenye uhai akisema, “Njoo!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipoivunja ile lakiri ya pili, nikamsikia yule kiumbe mwenye uhai wa pili akisema, “Njoo!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipoivunja ile lakiri ya pili, nikamsikia yule kiumbe wa pili mwenye uhai akisema, “Njoo!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na alipoufungua mhuri wa pili, nikamsikia yule mwenye uhai wa pili akisema, Njoo!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Mwanakondoo akavunja mhuri wa pili. Nikamsikia yule kiumbe hai wa pili akisema, “Njoo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoifungua muhuri ya pili, nikasikia, nyama wa pili akisema: Njoo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na alipoifungua muhuri ya pili, nikamsikia yule mwenye uhai wa pili akisema, Njoo!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Mwana-Kondoo akafungua kifundo cha muhuri wa pili. Nikasikia kiumbe cha pili cha ajabu kikisema: “Kuja!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na alipofungua muhuri ya pili, nikamsikia nyama wa pili akisema, Njoo uone.