Revelation 7:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakisema, “Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu, milele na milele! Amina!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakisema: “Amen! Sifa na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu viwe kwa Mungu wetu milele na milele. Amen!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walisema, “Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, nguvu na uweza ni vyake Mungu wetu milele na milele. Amina!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakisema, “Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu, milele na milele! Amina!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakisema, “Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu, milele na milele! Amina!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakisema: “Amen! Sifa na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu viwe kwa Mungu wetu milele na milele. Amen!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakisema: “Amen! Sifa na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu viwe kwa Mungu wetu milele na milele. Amen!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakisema, “Amina! Sifa, utukufu, hekima, shukrani, heshima, uwezo na nguvu viwe kwa Mungu wetu, milele na milele! Amina!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli, mapongezo na utukufu na werevu wa kweli na shukrani na heshima na uwezo na nguvu ni za Mungu wetu kale na kale pasipo mwisho! Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakisema: “Amina! Utukufu, sifa, hekima, shukrani, heshima, uwezo, na nguvu ni vya Mungu wetu, milele na milele! Amina!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakisema, Amin: Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu milele na milele. Amin.