Revelation 7:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wa hao wazee akaniuliza, “Hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? Na wametoka wapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mmoja wa wale wazee akaniuliza, “Ni nani hawa waliovaa mavazi meupe, nao wametoka wapi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu mmoja wa wale wazee akiniambia, Je! Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni akina nani? Na wametoka wapi?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha mmoja wa wazee akaniuliza, “Watu hawa waliovaa kanzu nyeupe ni akina nani? Wametoka wapi?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmoja wa hao wazee akaniuliza, “Hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? Na wametoka wapi?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wa hao wazee akaniuliza, “Hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? Na wametoka wapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mmoja wa wale wazee ishirini na wanne akaniuliza, “Ni nani hawa waliovaa mavazi meupe, nao wametoka wapi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mmoja wa wale wazee ishirini na wanne akaniuliza, “Ni nani hawa waliovaa mavazi meupe, nao wametoka wapi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu mmoja wa wale wazee akiniambia, Je! Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni akina nani? Na wametoka wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wa hao wazee akaniuliza, “Hawa waliovaa mavazi meupe ni watu gani? Na wametoka wapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mmoja wao wale wazee akaniuliza akisema: Hawa waliovikwa kanzu nyeupe ni akina nani? Nao wametoka wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu mmoja wa wale wazee akiniambia, Je! Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni akina nani? Na wametoka wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mumoja wa wale wazee akaniuliza: “Wale wanaovaa kanzu nyeupe ni watu gani nao wanatoka wapi?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu mmoja wa wale wazee akaniambia, Watu hawa waliovikwa mavazi meupe ni nani? na walikotoka wapi?