Revelation 7:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma tena,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kamwe hawataona njaa wala kiu tena. Jua halitawachoma wala joto lolote liunguzalo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala hari iliyo yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hawatasikia njaa tena. Hawatasikia kiu tena. Jua halitawadhuru. Hakuna joto litakalowachoma.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma tena,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma tena,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kamwe hawataona njaa wala kiu tena. Jua halitawapiga wala joto lo lote liunguzalo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kamwe hawataona njaa wala kiu tena. Jua halitawapiga wala joto lolote liunguzalo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala hari iliyo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawataona tena njaa wala kiu; jua wala joto kali halitawachoma tena,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
hawataona tena njaa wala kiu, wala jua halitawachoma wala jasho lo lote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala hari iliyo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao hawatasikia njaa tena, wala kiu, wala jua halitawapiga tena, wala joto lolote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hawataona njaa tena, wala hawataona kiu tena, wala jua halitawapiga, wala hari iliyo yote.