Revelation 7:6 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kabila la Asheri, 12,000; kabila la Naftali, 12,000; kabila la Manase, 12,000;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka kabila la Asheri elfu kumi na mbili, kutoka kabila la Naftali elfu kumi na mbili, kutoka kabila la Manase elfu kumi na mbili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa kabila ya Asheri kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Naftali kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Manase kumi na mbili elfu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kutoka katika kabila la Asheri walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Naftali walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Manasse walikuwa elfu kumi na mbili
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kabila la Asheri, kumi na mbili elfu; kabila la Naftali, kumi na mbili elfu; kabila la Manase, kumi na mbili elfu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kabila la Asheri, 12,000; kabila la Naftali, 12,000; kabila la Manase, 12,000;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kabila la Asheri 12,000, kabila la Naftali 12,000, kabila la Manase 12,000,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka kabila la Asheri 12,000, kutoka kabila la Naftali 12,000, kutoka kabila la Manase 12,000,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa kabila la Asheri elfu kumi na mbili. Wa kabila la Naftali elfu kumi na mbili. Wa kabila la Manase elfu kumi na mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kabila la Asheri, 12,000; kabila la Naftali, 12,000; kabila la Manase, 12,000;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
muhuri ya shina la Aseri walikuwa 12000, muhuri ya shina la Nafutali walikuwa 12000, muhuri ya shina la Manase walikuwa 12000,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa kabila ya Asheri kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Naftali kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Manase kumi na mbili elfu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wa kabila ya Naftali thenashara elfu. Wa kaliila ya Manasse thenashara elfu.