Revelation 7:8 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kutoka kabila la Zabuloni elfu kumi na mbili, kutoka kabila la Yusufu elfu kumi na mbili, na kutoka kabila la Benyamini elfu kumi na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa kabila ya Zabuloni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Yusufu kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Benyamini kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kutoka katika kabila la Zabuloni walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Yusufu walikuwa elfu kumi na mbili Kutoka katika kabila la Benjamini walikuwa elfu kumi na mbili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kabila la Zabuloni, kumi na mbili elfu; kabila la Yosefu, kumi na mbili elfu, na kabila la Benyamini, kumi na mbili elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kabila la Zabuloni 12,000, kabila la Yosefu 12,000, na kabila la Benyamini 12,000.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kutoka kabila la Zabuloni 12,000, kutoka kabila la Yusufu 12,000, na kutoka kabila la Benyamini 12,000.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wa kabila la Zabuloni elfu kumi na mbili. Wa kabila la Yusufu elfu kumi na mbili. Wa kabila la Benyamini elfu kumi na mbili waliotiwa mhuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kabila la Zebuluni, 12,000; kabila la Yosefu, 12,000; na kabila la Benyamini, 12,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
muhuri ya shina la Zebuluni walikuwa 12000, muhuri ya shina la Yosefu walikuwa 12000, muhuri ya shina la Benyamini walikuwa 12000,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa kabila ya Zabuloni kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Yusufu kumi na mbili elfu. Wa kabila ya Benyamini kumi na mbili elfu waliotiwa muhuri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wa kabila ya Zabulon thenashara elfu. Wa kabila ya Yusuf thenashara elfu. Wa kabila ya Benyamin thenashara elfu waliotiwa muhuri.