Revelation 8:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele ya Mungu wamepewa tarumbeta saba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele za Mungu, nao wakapewa tarumbeta saba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nikawaona wale malaika saba wasimamao mbele za Mungu, nao wakapewa baragumu saba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Niliwaona malaika saba wanaosimama mbele ya Mungu. Walipewa tarumbeta saba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele ya Mungu wamepewa tarumbeta saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele ya Mungu wamepewa tarumbeta saba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele za Mungu, nao wakapewa tarumbeta saba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele za Mungu, nao wakapewa tarumbeta saba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nikawaona wale malaika saba wasimamao mbele za Mungu, nao wakapewa baragumu saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, nikawaona wale malaika saba wanaosimama mbele ya Mungu wamepewa tarumbeta saba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikawaona wale malaika saba waliosimama mbele ya Mungu, wakipewa mabaragumu saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nikawaona wale malaika saba wasimamao mbele za Mungu, nao wakapewa baragumu saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha nikaona wamalaika saba wakisimama mbele ya Mungu, nao wakapewa baragumu saba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nikawaona malaika saba wasimamao mbele za Mungu, wakapewa baragumu saba.