Revelation 9:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani Mwangamizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walikuwa na mfalme wao, ambaye ni malaika wa lile Shimo, ambaye jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani ni Apolioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walikuwa na mtawala, aliyekuwa malaika wa kuzimu. Jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni. Na kwa Kiyunani ni Apolioni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani mwangamizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani Mwangamizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walikuwa na mfalme wao, ambaye ni malaika wa lile Shimo lisilo na mwisho, ambaye jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani ni Apolioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikuwa na mfalme wao, ambaye ni malaika wa lile Shimo, ambaye jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani ni Apolioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki analo jina lake Apolioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kigiriki ni Apolioni, yaani Mwangamizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana mfalme wao, ni malaika wa kuzimu, jina lake Kiebureo huitwa Abadoni, Kigiriki huitwa Apoloni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na juu yao wanaye mfalme, naye ni malaika wa kuzimu, jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni, na kwa Kiyunani analo jina lake Apolioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mufalme wao, ndiye malaika wa lile shimo ndefu la kuzimu, jina lake liliitwa kwa Kiebrania “Abidani” na kwa kigriki “Apolioni” (maana yake “Mwangamizaji”).
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na juu yao wana mfalme, malaika wa abuso, jina lake kwa Kiebrania Abaddon, na kwa Kiyunani jina lake Apollion.