Revelation 9:16 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili. Nilisikia idadi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi ilikuwa elfu ishirini mara elfu kumi; nilisikia hesabu yao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nikasikia kuwa idadi ya askari waliowaendesha farasi walikuwa milioni mia mbili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nilisikia idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa 200,000,000. Nilisikia idadi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idadi ya majeshi wapanda farasi ilikuwa 200,000,000. Nilisikia idadi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi ilikuwa milioni mia mbili; nilisikia hesabu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilisikia idadi ya majeshi wapandafarasi ilikuwa 200,000,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hesabu ya vikosi vya wapanda farasi ilikuwa elfu ishirini mara elfu kumi (20000000); ndiyo hesabu yao, niliyoisikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi ilikuwa elfu ishirini mara elfu kumi; nilisikia hesabu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikasikia hesabu ya makundi ya waaskari wapanda-farasi, nao walikuwa milioni mia mbili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hesabu ya majeshi ya wapanda farasi elfu ishirini marra elfu kumi; nikasikia hesabu vao.