Revelation 9:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na nge.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaruhusiwa kuwatesa kwa muda wa miezi mitano, lakini wasiwaue. Uchungu wa kuuma kwao ulikuwa kama ule wa mtu anapoumwa na nge.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakapewa amri kwamba wasiwaue, bali wateswe miezi mitano. Na maumivu yao yalikuwa kama kuumwa na nge, aumapo mwanadamu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hawakupewa mamlaka ya kuwaua lakini kuwatia maumivu kwa muda wa miezi mitano, maumivu kama ambayo mtu huyasikia anapoumwa na nge.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na ng'e.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na nge.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaruhusiwa kuwatesa kwa muda wa miezi mitano, lakini wasiwaue. Uchungu wa kuuma kwao ulikuwa kama ule wa mtu aumwapo na nge.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaruhusiwa kuwatesa kwa muda wa miezi mitano, lakini wasiwaue. Uchungu wa kuuma kwao ulikuwa kama ule wa mtu aumwapo na nge.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakapewa amri kwamba wasiwaue, bali wateswe miezi mitano. Na maumivu yao yalikuwa kama kuumwa na nge, aumapo mwanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nzige hao hawakuruhusiwa kuwaua watu, ila kuwatesa tu kwa muda wa miezi mitano. Maumivu watakayosababisha ni kama maumivu yanayompata mtu wakati anapoumwa na nge.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawakupewa kuwaua, ila walipewa, wawaumize tu miezi mitano. Maumivu hayo yalikuwa kama maumivu ya nge, akimwuma mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakapewa amri kwamba wasiwaue, bali wateswe miezi mitano. Na maumivu yao yalikuwa kama kuumwa na nge, aumapo mwanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nzige wale hawakupewa amri ya kuwaua watu wale, lakini wawatese kwa muda wa miezi mitano. Na maumivu yao yalikuwa kama vile nge wakati anapouma mutu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakapewa amri wasiwaue, bali wateswe miezi mitano. Na kuumwa kwao kulikuwa kama kuumwa na uge, aumapo mwana Adamu.