Romans 1:10 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
daima katika sala zangu. Namwomba Mungu akipenda, anipatie nafasi nzuri ya kuja kwenu sasa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
katika maombi yangu siku zote. Nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
siku zote katika sala zangu, nikiomba nije kwenu hivi karibu, Mungu akipenda kuifanikisha safari yangu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
daima katika sala zangu. Namwomba Mungu akipenda, anipatie nafasi nzuri ya kuja kwenu sasa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
daima katika sala zangu. Namwomba Mungu akipenda, anipatie nafasi nzuri ya kuja kwenu sasa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nipate kuja kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika maombi yangu siku zote, nami ninaomba kwamba hatimaye sasa kwa mapenzi ya Mungu, njia ipate kufunguliwa kwa ajili yangu ili nije kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
siku zote katika sala zangu, nikiomba nije kwenu hivi karibuni, Mungu akipenda kuifanikisha safari yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
daima katika sala zangu. Namwomba Mungu akipenda, anipatie nafasi nzuri ya kuja kwenu sasa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
siku zote po pote, ninapoomba. Ninalojiombea ni hili: Mungu apendezwe kunifungulia ile njia nzuri ya kuja kwenu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
siku zote katika sala zangu, nikiomba nije kwenu hivi karibu, Mungu akipenda kuifanikisha safari yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
katika maombi yangu. Ninaomba kwamba Mungu akitaka, anifungulie njia ya kuwatembelea siku hizi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nikiomba nije kwenu sasa katika siku hizi hizi, Mungu akipenda kuifanikisha safari yangu: