Romans 1:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo kusema, tutaimarishana: Imani yenu itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
yaani, tufarijiane mimi na ninyi, kila mtu kwa imani ya mwenzake, yenu na yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninamaanisha kuwa ninataka tusaidiane sisi kwa sisi katika imani tuliyo nayo. Imani yenu itanisaidia mimi, na imani yangu itawasaidia ninyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndiyo kusema, tutaimarishana: imani yenu itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo kusema, tutaimarishana: imani yenu itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au zaidi, ninyi pamoja nami tuweze kutiana moyo katika imani sisi kwa sisi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
yaani, tufarijiane mimi na ninyi, kila mtu kwa imani ya mwenzake, yenu na yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo kusema, tutaimarishana: Imani yenu itaniimarisha mimi, na yangu itawaimarisha nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo tutatulizana mioyo pamoja nanyi na kuonyeshana mategemeo yetu, tunayoyakalia ninyi na mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
yaani, tufarijiane mimi na ninyi, kila mtu kwa imani ya mwenzake, yenu na yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kusema kwamba nipate kutiwa moyo kwa njia ya imani yenu na ninyi kwa njia ya imani yangu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
yaani, tufarijiane mimi na ninyi, killa mtu kwa imani ya mwenzake, yenu na yangu.