Romans 1:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Imenilazimu kuwatumikia watu wote; waliostaarabika na wasiostaarabika, walioelimika na wasio na elimu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi ni mdeni kwa Wayunani na kwa wasio Wayunani, kwa wenye hekima na kwa wasio na hekima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawiwa na Wagiriki na wasio Wagiriki, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimeingia udeni kwa Wagriki hata kwa washenzi, kwa wajuzi hata kwa wapuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu ninapaswa kwanza kuwaendea watu wote: Wagriki na wasiokuwa Wagriki, wenye elimu na wasiokuwa na elimu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nawiwa na Wayunani na washenzi, nawiwa na wenye hekima na wajinga.