Romans 1:22 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walisema kuwa wana hekima, lakini wakawa wajinga.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa wakijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipojiwazia kuwa werevu wa kweli, ndipo, walipopumbazika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanajidai kwamba wao ni wenye hekima, lakini wako wapumbafu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika,