Romans 1:4 — Compare Translations

13 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kuhusu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na ambaye kwa uwezo wa Roho wa utakatifu alidhihirishwa kuwa Mwana wa Mungu kwa ufufuo wake kutoka kwa wafu, yaani Isa Al-Masihi, Bwana wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na alipofufuliwa na Roho Matakatifu kutoka kwa wafu, alipewa mamlaka kamili ya kutawala kama Mwana wa Mungu. Ni Yesu Kristo, Bwana wetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
mintarafu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa kutoka wafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kuhusu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na ambaye kwa uwezo wa Roho wa utakatifu alidhihirishwa kuwa Mwana wa Mungu kwa ufufuo wake kutoka kwa wafu, yaani, Yesu Kristo Bwana wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na ambaye kwa uwezo wa Roho wa utakatifu alidhihirishwa kuwa Mwana wa Mungu kwa ufufuo wake kutoka kwa wafu, yaani, Isa Al-Masihi, Bwana wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kuhusu utakatifu wake wa kimungu, alithibitishwa kwa uwezo mkuu kwamba ni Mwana wa Mungu kwa kufufuliwa kutoka kwa wafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena hapo, alipofufuliwa katika wafu, ikatokea waziwazi, ya kuwa ni Mwana wa Mungu kwa nguvu ya Kiroho iliyo yenye kutakasa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
na kudhihirishwa kwa uweza kuwa Mwana wa Mungu, kwa jinsi ya roho ya utakatifu, kwa ufufuo; Yesu Kristo Bwana wetu,