Romans 1:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili wapate kuwa mali ya Isa Al-Masihi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nanyi pia ni miongoni mwa waliochaguliwa na Mungu ili mmilikiwe na Yesu Kristo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili mpate kuwa mali ya Kristo Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninyi nyote pia mko miongoni mwa watu walioitwa ili mpate kuwa mali ya Isa Al-Masihi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miongoni mwao mlikuwa nanyi, mkaitwa na Yesu Kristo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nanyi vilevile munakuwa kati ya watu wale; mumeitwa na Mungu mukuwe watu wa Yesu Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
katika hawa na ninyi mmekuwa, mmeitwa na Yesu Kristo: