Romans 10:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maandiko Matakatifu yasema: “Kila anayemwamini hataaibishwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Maandiko yanavyosema, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo, Maandiko yanasema, “Yeyote anayemwamini hataaibika.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maandiko Matakatifu yasema: “Kila amwaminiye hatakuwa na sababu ya kuaibika.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maandiko Matakatifu yasema: “Kila anayemwamini hataaibishwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama yasemavyo Maandiko, “Ye yote amwaminiye hatatahayarika.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama yasemavyo Maandiko, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maandiko Matakatifu yasema: “Kila anayemwamini hataaibishwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Maandiko yasema: Kila anayemtegemea hatatwezeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana Maandiko Matakatifu yanasema: “Kila mutu anayemwamini hatapata haya.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana andiko lanena, Killa amwaminiye hatatahayarika.