Romans 10:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wote hawakuipokea hiyo habari njema. Maana Isaya alisema: “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini si wote waliotii Injili. Kwa maana Isaya asema, “Mwenyezi Mungu, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini si wote walioitii ile habari njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini si watu wote walizipokea Habari Njema hizo. Na hii ndiyo sababu Isaya alisema, “Bwana, nani aliyeamini yale tuliyowaeleza?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wote hawakuipokea hiyo Habari Njema. Maana Isaya alisema: “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wote hawakuipokea hiyo habari njema. Maana Isaya alisema: “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana Mwenyezi, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini si wote walioitii ile Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wote hawakuipokea hiyo habari njema. Maana Isaya alisema: “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini walioutii huo Utume mwema sio wote. Kwani Yesaya anasema: Bwana, yuko nani anayeutegemea utume wetu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini si wote walioitii ile habari njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, ni nani aliyeziamini habari zetu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wote hawakukubali ile Habari Njema. Kwa maana Isaya, alisema: “Ee Bwana, ni nani aliyeamini habari tulizotangaza?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini si wote walioitii khahari njema. Kwa maana Isaya asema, Bwana, nani aliyeamini khabari zetu?